Visitors Counter

»Today   532               
»Week   15115               
»Month   42359               
==============
»Total  23192426        

TAARIFA KWA WAOMBAJI FURSA ZA AJIRA

March 6, 2018


Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuutangazia Umma kuwa imefanya maboresho katika mfumo wa maombi ya kazi ‘Recruitment Portal’, hivyo waombaji fursa za ajira wanakumbushwa ku-‘Update’ taarifa zao kabla ya kuomba nafasi nyingine za kazi. Maeneo yaliyofanyiwa maboresho katika upande wa muombaji fursa za ajira ni ‘Personal Details’, ‘Contact Details’, na ‘Academic Qualification’.