Call for Interview

Placements

Visitors Counter

»Today   1444               
»Week   1444               
»Month   29205               
==============
»Total  23379591        

MAREKEBISHO YA KAZI ILIYOTANGAZWA YA “DIRECTOR OF TECHNICAL SERVICES” REA.

July 9, 2018


Tunapenda kuutaarifu Umma kuwa tarehe 5 Julai, 2018 tulitangaza nafasi ya kazi ya “Director of Technical Service” katika Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira www.ajira.go.tz na kwenye gazeti la Daily News la tarehe 6 Julai, 2018. Tunawataarifu Umma kuwa nafasi hiyo ilitangazwa kimakosa na nafasi iliyopaswa kutangazwa ni ya “Director of Market Development and Technologies”. Hivyo, tunaomba wale wote wenye nia ya kuwasilisha maombi wawasilishe kwa ajili ya nafasi ya “Director of Market Development and Technologiesambayo tayari ipo kwenye tovuti ya Sekretarieti na itatangazwa tena kwenye gazeti la Daily News la tarehe 9 na 10 Julai, 2018.

Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.