Placements

Visitors Counter

»Today   23               
»Week   23               
»Month   57030               
==============
»Total  23067956        

TANGAZO LA KUAHIRISHWA KWA USAILI WA KADA YA AFISA UTAMADUNI II

December 15, 2017


WAOMBAJI KAZI WOTE WALIOOMBA NAFASI YA AFISA UTAMADUNI DARAJA LA II AMBAO USAILI WAO ULIOPANGWA KUFANYIKA TAREHE 19 DESEMBA 2017 KATIKA OFISI ZA SEKRETARIATI YA AJIRA  WANAJULISHWA KUWA USAILI HUO UMEAHIRISHWA  HADI HAPO MTAKAPOTANGAZIWA  TENA. USAILI WA KADA ZINGINE UTAENDELEA KAMA KAWAIDA.

TUNAOMBA RADHI KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA KUFUATIA MABADILIKO HAYO.

 

IMETOLEWA NA KATIBU, OFISI YA RAIS SEKRETARIATI YA AJIRA.