Advertised Posts

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA CHUO CHA MWALIMU NYERERE 18/11/2017

Visitors Counter

»Today   14235               
»Week   14235               
»Month   100825               
==============
»Total  22846392        

Sekretarieti ya Ajira yatoa elimu kwa Wahitimu wa Chuo cha Kodi kuhusu masuala ya Ajira Serikalini.

Posted on November 17, 2017 at 03:57 PM

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imefanya ziara ya kikazi katika Chuo cha Kodi kilichopo Mikocheni Jijini Dar es Salaam ikiwa ni hatua endelevu ya utekelezaji wa mkakati wake wa kutatua changamoto  mbalimbali wanazokumbana nazo wakati wa utekelezaji wa mchakato wa Ajira Serikalini kwa kukutana na wadau wake ikiwemo wanafunzi wa vyuo mbalimbali.

Read More

MPANGILIO WA KADA NA KUMBI ZA USAILI WA MCHUJO

Posted on November 14, 2017 at 12:00 PM

Read More

MPANGILIO WA MAJINA YA KUMBI ZA WASAILIWA

Posted on November 14, 2017 at 11:45 AM

MPANGILIO WA MAJINA YA WAOMBAJI KAZI WALIOITWA KWENYE USAILI NA VYUMBA (KUMBI) WATAKAZOFANYIA USAILI KATIKA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE TAREHE 18/11/2017

Read More

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA SEKRETARIETI YA AJIRA ILIYOWASILISHWA NA KATIBU WA SEKRETARIETI HIYO.

Posted on November 5, 2017 at 03:40 PM

TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA SEKRETARIETI YA AJIRA ILIYOWASILISHWA NA KATIBU WA SEKRETARIETI YA AJIRA BW. XAVIER M. DAUDI KWENYE ZIARA YA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA MHE. GEORGE HURUMA MKUCHIKA ALIPOTEMBELEA OFISI ZA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TAREHE 16 OKTOBA, 2017 KATIKA OFISI ZA SEKRETARIETI YA AJIRA.

Read More

Posted on October 5, 2017 at 10:59 AM

HOTUBA YA MHESHIMIWA ANGELLAH J. KAIRUKI (MB) WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA 

BORA) KWENYE UZINDUZI WA BODI YA TATU YA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA ULIOFANYIKA KATIKA WA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA, TAREHE 5 OKTOBA, 2017

 

Read More